@abel_rehema because we know all ladies are business women so they trade goods for goods meaning after getting what I want she will list me her demands so I better bounce before the list finishes
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamisi Kigwangalla ametangaza kufuta umiliki wa kitalu cha uwindaji wa kitalii cha Lake Natron (East) kilichokuwa kinamilikiwa na kampuni ya Green Miles kuanzia leo August 07, 2019 "Kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, nimefikia uamuzi huu"
"Hii ni sehemu ya mazoezi na sehemu ya maandalizi ya msimu ukiwa unajiandaa unatakiwa ufanye kazi kwa bidii ili uweze kufanikisha malengo yako baadae, tunajitahidi kuunda mahusiano na kuzoeana kama timu hii ni hat trick yangu ya 10" -Meddie Kagere #MillardAyoSPORTS
"Haitaniathiri kwa sababu kocha alisema tangu Half Time kwamba mtu yoyote anayejisikia vibaya aseme ili aweze kupumzika kwani mchezo unaokuja upo karibu"-Kapombe baada ya kutolewa na watu kuhisi amejitonesha kwani alikuwa majeruhi kwa muda mrefu 📽@ayotv_#MillardAyoSPORTS
Michael Job raia wa Marekani ambaye ni Mhubiri na Muigizaji anayeidaiwa kuwa Yesu feki, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu hospitalini, Yesu feki alikaribishwa na Wachungaji wawili kutembelea nchini Kenya wiki iliyopita.
#MillardAyoUPDATES