5️⃣ COMPLETION PHASE
This is when the Original consolidation has been reached.
After the original Consolidation has been reached we can start to look for new Potential Market Maker Models.
Thanks for Reading This.
I appreciate your Support a LOT.
Drop your Comments Below👇
4️⃣ DISTRIBUTION PHASE
In this phase price expands back to the original consolidation. Low risk sells are also formed during this stage. Therefore I tend to look for continuation positions targeting the original consolidation.
Biashara ya forex imeingiliwa na wahuni wenye midomo ya ushawishi na wanafanyia show off za maisha.
Hawa jamaa wamewapiga Sana wabongo wanaopenda vitonga na njia rahisi za kutoboa.
Forex trading ukiiwekea Tamaa mbele na ukawa unataka ujidai kitaa kwamba wewe ni trader itakuja.
@DizoFx Usisahau vile mentors wa bongo wanatumia luga za kisela sela ili kujifanya wamegundua strategy zao.
Wana viluga vya kingereza vya kujikuta hawatumii SMC au ICT wakat ndan ya setup zao kuna BOS, Liquidity na CHOCH.
WANABOAAAA! Hata wewe ni Mmoja wao.
Tumebakiwa na siku moja tu, tuanze darasa letu,
(Forex Trading for beginners) buree.
Kama bado hujajiunga kwenye hii free training basi jiunge sasa hivi kwenye hili group.
Gusa hii link kujiunga.
https://t.co/2UclNvmS2q
Maisha ya siku hizi ni bora uishi kama chizi tu mana ukijaribu kuishi vizuri kuna watu watakusema kuwa unajiona sana.
Ukiwa mkimya na kufanya mambo yako kuna watu watasema unaringa.
Bora Uwe Chizi Tu.