Chama cha Wanasaikolojia Tanzania (TAPA), kinatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, na Watanzania wote kufuatia ajali ya kusikitisha ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa iliyotokea Kariakoo, Dar es Salaam.
@KwekaOpportuna@UdsmOfficial@AllianceHPSR Hakika ilikuwa ni wakati mzuri sana kujadili mambo muhimu kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi katika afya. Tunahitaji jitihada za haraka zaidi hasa kwa kutumia teknolojia za kisasa ikiwemo akili mnemba (AI) katika kukabiliana na mabadiliko haya yenye athari kubwa katika afya!
@maendeleoyajami 2. Ajira za maafisa ustawi wa jambii kwa ngazi mbali mbali zizingatie mgawanyo wa fani/taaluma zinazounda kada ya "afisa ustawi wa jamii" kwa mjibu wa ikama ya ajira za serikali ili kuwe na utoaji wa huduma jumuishi na urahisi wa rufaa (referrals).
@maendeleoyajami Hongera mheshimiwa Dkt. Gwajima kwa kazi nzuri sana, binafsi nina maoni mawili
1. Huduma za afya ya akili na msaada wa kisaikolojia na kijamii (huduma za Ustawi wa jamii ) ni huduma muhimu ambazo zinahitaji kufanywa na wataalam waliosajiliwa na kupewa leseni kisheria
Tanzanian Psychological Association (TAPA) na Boys Initiative Tanzania (BIT) tuna jambo letu kuhusu wanaume.
Karibu kwenye mjadala huu utakaofanyika hapa X (space) siku ya Alhamis hii 16.11.2023 kuanzia saa 12:00 jioni.
KWA PAMOJA TUTOKOMEZE VIFO VYA KUJITOA UHAI KWA WANAUME.
Kutana na wataalamu wa Saikolojia na Sosholojia wakielezea hili kwa undani zaidi kupitia twitter space (X) itakayo fanyika siku ya alhamisi 19.10.2023 kuanzia saa 12:00 jioni mpaka saa 02:00 usiku na upate kujifunza mengi kwa manufaa yako mwenyewe na ya jamii inayo kuzunguka.
Tanzanian Psychological Association (TAPA) will host a Practitioners Get Together on 9th September 2023.
Discussion Topics:
1. Thinking and Talking as a Scientist: Truth and Lies about Psychology
2. Management of private practice: Ethics and Standards
👇🏿
https://t.co/096Agyga57
Chama cha Wanasaikolojia Tanzania (TAPA), kinawaletea Saikolojia Talk itakayo fanyika tarehe 31 Agosti, siku ya Alhamisi ikiwa na lengo la kuelimisha jamii maana ya Saikolojia, na kumfahamu Mwanasaikolojia na kazi yake pamoja na umuhimu wa taaluma hii katika maisha yetu.
Congratulations to this group of fellows for African Peace Network/ Next Generation of Social Science 2023. Very proud of you @BenRwelengera, @JohnRuthw, Shaghembe and colleagues! Make @UdsmOfficial more proud our there!
@Christi36159665@BenRwelengera@JohnRuthw@UdsmOfficial Thank you very much prof. Noe for your kindness and fulltime heartfelt support in each step of our career life. You are such an inspirational icon in academia
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Saba wa Chama Cha Wanasaikolojia Tanzania (TAPA) unaoendelea muda huu.
Tunawashukuru wafadhili na wadau wote wa Afya ya Akili na Ustawi wa Kisaikolojia waliotuunga mkono kufanikisha Mkutano huu muhimu.
#TAPAAGM2023