@incredib0y@EduTalkTz Hivi unajua mifupa imetokana na maji ya uzazi. Na sio imeota TU. Imeivaa nyama, na imejipangilia due to o functionality. Sayansi can't prove this observable creation ndio Ita prove mtu katokana na udongp
@EduTalkTz Achana na chanzo cha ulimwengu. Wewe mwili wako, mifumo ya mwili. Arrangements za planet, displine ya viumbe kuzaliana kula na habitats zao, utaratibu wa usingizi, kuishi na kufa. Vyote hivyo na vingine vimejiendesha vyenyewe? Hakuna aliye vianzisha akavipanga na kuvisimamia?
@EduTalkTz Mtu kama hujui usianze kukana na kubisha. Jufunze Fanya utafiti. Ma genius wengi waliokuwa hawaamini kuwepo wa mungu. Kwa detail ndogo TU wakachange mind
@incredib0y@EduTalkTz Hata kwenye chemistry compound haiwezi ikadecompose ikaunda product ambazo hazijaiunda hiyo compound.. haya umeamua kukataa TU Sina cha kufanya
@incredib0y@EduTalkTz You know anything about soil formation?, if you know how you can distinguish organic matter from soil. In geography form three I remember factors that influence soil formation organisms, parent rock etc, interesting ,some rocks come from organisms. Unawezaje kuvitenganisha?
@incredib0y@EduTalkTz Duh, hii duniani. Time traveling in fact ni myth TU. How you scientifically prove it.weww ukiambiwa uneubwa kwa udongo unakataa. Scientifically you're organic ( hydrocarbon) you can decompose to form soil and other soil nutrients. Tuishie hapa
@EduTalkTz Mungu ameandaa malipo ya mwema na uovu siku ya mwisho. Akaweka malipo mazuri kwa walio dhurumiwa wakajipambania na kusubiri. Na hicho ndicho kilitokea wakati wa utumwa. Watu waliteseka wakapambana utumwa ukafutika. Na thereafter life watalipwa mema na utii wao kwa mungu
@incredib0y@EduTalkTz Hujajibu swali lolote niliokuuliza. Unakataa uwepo wamungu alafu at the sametime unaamini vitu vya kufikirika. black hole, geocentric theory, earth is flat, aliens, time traveling etc. ambavyo ni stori za sungura na fisi kwenye sayansi alafu huamini uwepo wa mungu
@incredib0y@EduTalkTz Alafu nikuongezee tu. Maswali niliyoweka hapo na mengine yote ya kisayansi. Yanajaribu kuelezea tu kitu kinatokeaje. Na sio kwanini kimetikoa na ipi asili yake
@EduTalkTz Mungu ni aloyegeuza majimaji kuwa nyama na mifupa. Akakuchagulia jinsia taifa, etc. Kila kilichotokea kina sababu na huo ndio msingi wa kuamini mungu. Nakuamini vitu vinaweza kufanyika bila kuwepo mfanyaji, kunapelea kuwepo watu kama wewe