Jaribu tu kuvaa viatu vyangu, YANGA ni bingwa halafu wakati anatangazwa ubingwa ni kwa kuipiga MTIBWA yangu ambayo inaweza kucheza Championship huenda, halafu kwenye huu ubingwa SIMBA yangu kachangia alama sita yani kapigwa nje ndani, vaa viatu vyangu kidogo tu๐!
Kwa watumiaji wa tigo na kuletwa huduma ya TIGO POSTPAID hii ni huduma maalumu itakayo kuwezesha kupata GBs nyingi zaidiii
๐Tigo postpaid jinsi inavyo fanya kazi kila tareh 1 ya mwezi usika utapata kifurushi ulicho kichagua na malipo yake yanafanyika mwisho wa mwezi (malipo baada ya huduma)
Utaratibu
๐Kwa mara ya Kwanza mteja anatakiwa kufanya malipo ya security deposit kulingana na kifurushi anacho hitaji.
๐ Security deposit inasimama kama hisa / dhamana kwenye mfumo wa tigo postpaid na malipo yanafanyika moja Kwa moja kwenda tigo na mteja
Vigezo
๐Tin namba certificate
๐ Kitambulisho kimoja wapo Kati ya NIDA / kupiga Kura / driving license / passport
https://t.co/wNYc5PSHeY
@abazwhyllzz @Emeka_khalifa Hiko ni kitoto cha mapaka pori majiz ya kuku yanaitwaga "kalamuzu" .....sasa iko kimezaliwa kijizi, humo ndani atanyea kila kitu na anakula hadi noti huyo....Muweke nnje ummwagie maji ya upako na stiki nyingiiiiii akafiye mbele. 'You'll thank me later' โ๐ฝ