MWONGOZO WA TEKNOLOJIA ZA UZALISHAJI WA ZAO LA VIAZI MVIRINGO KATIKA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
1. UTANGULIZI
Mwongozo huu unatoa maelezo juu ya teknolojia za kufuata ili kuwezesha wakulima kufanya maamuzi kabla ya kuzalisha viazi mviringo,hasa katika matumizi ya mbegu bora,
𝐀𝐩𝐩𝐫𝐞𝐜𝐢𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐟𝐨𝐫 𝐇𝐨𝐧. 𝐌𝐢𝐧𝐢𝐬𝐭𝐞𝐫 𝐇𝐮𝐬𝐬𝐞𝐢𝐧 𝐁𝐚𝐬𝐡𝐞: 𝐀 𝐂𝐡𝐚𝐦𝐩𝐢𝐨𝐧 𝐟𝐨𝐫 𝐅𝐚𝐫𝐦𝐞𝐫-𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐝 𝐒𝐞𝐞𝐝𝐬🌱
Thank you, Hon. Minister Hussein Bashe @HusseinBashe, for being bold, vocal, and unwavering in your support for farmer-managed
Miaka minne iliyopita tulizalisha tani 30,000 tu za mbegu hapa nchini. Leo kupitia Wakala wa Mbegu Agricultural seed agency tunazalisha zaidi ya tani 60,000 mara mbili ya hapo awali.
Kupitia uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Serikali ilitoa mashamba yake kwa mikataba kwa makampuni ya Kitanzania kuzalisha mbegu bora, huku ikihakikisha soko la uhakika kupitia mikataba ya kusambaza mbegu kwa wakulima.
Leo, zaidi ya 60% ya mashamba yetu yanatumiwa na sekta binafsi. Tuna makampuni 23 yanayozalisha mbegu kwenye mashamba ya Serikali na kati yao, yapo yanayoendeshwa na vijana chini ya miaka 30.
Tunajenga sekta binafsi imara kwa vitendo.
Ahsanteni sana kwa kushiriki kwenye safari hii. Tunasonga Mbele.
Wakulima skimu ya umwagiliaji zao la mpunga Kigugu Wilayani Mvomero Mkoani Morogoro wanufaika wa Mradi wa FO4ACP unaotekelezwa na Baraza la Kilimo Tanzania wapatiwa elimu kuhusiana na Huduma na Elimu kuhusu bidhaa za kibenki na kifedha.
Viazi vinapo fikia hatua ya utungaji vinahitaji virutubisho sahihi ili kuimarika katika ukuaji wake. Mbolea ya MiCROP MBOGAMBOGA na YaraBela SULFAN ndio chaguo sahihi kwako ambazo husasidia upatikanaji wa haraka wa virutubisho kwa mmea, kuongeza utungaji wa viazi vingi, zinahimarisha afya udongo, kuupa zao la viazi afya ambayo husaidia kuhimili changamoto za kimazingira na magonjwa na ina hakikisha ukijani wa majani muda wote.
Ungana na wakulima wanao furahia kilimo cha viazi kwa kutumia mbolea zetu. Tufahamishe unapatikana wapi ili tukuunganishe na wakala aliye karibu na wewe.
#mboleaniyara
#knowledgegrows
#yaratanzania
#Microp
Kwa mbolea zote hizi za kiasili, hakikisha unapulizia wakati wa asubuhi au jioni ili kuepuka kuchoma majani kutokana na jua kali.
#Maelezo kwa Hisani ya Mtandao
#shambahubtz#folierfertilizer#fertilizer
Foliar fertilizer spray ni aina ya mbolea inayotumika kwa kupulizia moja kwa moja kwenye majani ya mmea badala ya kuwekwa kwenye udongo.
Mbolea hii hufyonzwa kupitia tundu za majani na hivyo mmea hupata virutubisho moja kwa moja kwa haraka.
Faida Zake :-
1. Ufanisi wa haraka
Samadi ya ng'ombe ina virutubisho vya Potasiamu (Potassium), Nitrojeni, na Phosphorus. Inaposaidia mimea kukua vizuri na majani kuwa na rangi ya kuvutia. Changanya samadi na maji kwa uwiano wa 1:10 na acha ikaee kwa siku 7-10 kabla ya kutumia kama mbolea ya majani.