Founder & Executive Director of @NasimamaNao. Former Administrative Assistant JICA-MOH. A hard working person, Dream-chaser, Team worker, Caring mother of 3.
“We know that the threat of child marriage is far greater when communities are affected by economic shocks and have limited access to basic services”
Let’s learn from each other: 👇https://t.co/j6xfqcPBbj
#EndChildMarriage
📌Mungu anawaleta watu maishani mwako kwa sababu maalum, na pia anawatoa kwasababu maalum...iwe ya kukufunza au kukuepusha na mabalaa!!! Stay safe #corona
🛠Kuigiza una furaha wakati moyoni una maumivu makubwa, ni njia mojawapo ya kuonesha jinsi gani una nguvu ya kupambana na changamoto yeyote maishani mwako!💉
Let’s all be each for equal. Hii ni alama ya = ambayo inatumika duniani kuashiria usawa kwa wote kuelekea siku ya wanawake duniani. Ungana nasi katika kampeni hii #tunatakausawa#nasimamanao
Hongera mkewangu @ShamyTz na taasisi yako ya @nasimamanao pamoja na mtanga mwenzio shamiramshangama na taasisi yake ya @MwanamkeUongozi kwa kuona na kuwapigania watu wa Lindi kwenye hili na mengine yanayo kuja… https://t.co/Cz1u3ZIaV4
Napenda kushukuru uongozi wa shule ya Premier Girls kwa kunipa nafasi ya kuongea na wadogo zangu. Binafsi niliwakumbusha vitu vitatu:
.Choose between friends
.Nguvu ya mtandao wa kijamii
.Kuwa mabalozi wazuri