Sisi tunaopenda " Word Plays " kumsikiliza SlimSal Huwa ni baraka sana, dude linaitwa Cash feat Navie kwenye Korasi na Gran Geezy kutoka Fresh boys kwenye verse ya tatu. ๐
https://t.co/YaHNElHXjk
Sema Roma Huwa anamuonea sana Khaligraph Jones wanapokutana. Ni Toto Africans flani hivi aliyekuwa anaitesa Simba Sc mara nyingi wanapokutana. Black Belt Part 2 ๐