@godbless_lema Uyo mzee kukamatwa naona sawa tu, anakashifu Dini vibaya, hata kama wewe uamin Dini lakini siyo unaitukana imani ya mwenzako….ANASTAHILI KUKAMATWA, kwenye hili halihusiani na mambo ya siasa, tusichanganye mambo…na sie wengine tutaanza kutowaamin na nyie maana mnatetea upumbavu
@_CFCMax mbona hawi man of the match kwenye izo fainali au mchezaji bora wa mashindano, maana yake ana bebwa yeye sasa; kama hio juzi sijaona alichofanya zaidi ya ile goal, sembuse wakina Jota mechi wangeimaliza mapema tyu. “inauma lakini ndo uhalisia, anawapa wenzake mzigo mzito tu”.🚮
@Ngoswe17@Roma_Mkatoliki 😂wewe umetoa boko sasa! Kumtag msanii hio ipo duniani kote…mbona Nikki minaj huwa anamtag sana Lil wayne…🌚itakuwa hujamuelewa Roma alichomaanisha……”Serikali/Siasa kuingiza kwenye mziki”📌
@COllenavarro@tinmunishi127 Ukisoma hii comment ni kama point ila pumba ambayo haina tafiti yeyote…Kwa Mo Boss wa sales department ni Muhindu, General manager ni muhindu pia….Nenda kwa Bakhresa Tido muhando alikuwa muislam🚮
@Roma_Mkatoliki 🤔hata wali unakuwa wa kishua kutegemeana na mahal uliponunua, 🤔unajua wali wa mbagala kingugi ulivyo quantity😅 lakin burger/pizza bei huwa inaanzia 10k no matter what📌
@Roma_Mkatoliki Burger ni expensive kutokana na nchi yetu; huwez nunua burger 10k alafu kaduchu vile 🤔afu uache vitumbua…unajua vitumbua vya 10k ni vingap?? Pia ngoja nikupe code, sisi huwa tunaangalia ujazo wa kitu na bei ndo tuna category kuwa iko ni kitu cha kishua au vp…