@Labella_Mafia95 Mara nyingi, wafanya biashara wakubwa wanaweza kuweka mali zao kwa majina ya familia zao, kama mama na watoto, ili kupunguza athari za kisheria na kodi.
@Aduiwayanga Ni App Bora ya Simu iliyosheheni Nukuu Mbalimbali, Misemo ya Kufurahisha, Memes, Misemo ya Hekima, Maisha, Mahusiano, Mafanikio na N.K
Download Swahili Status App kupitia playstore ✍️
🔻
Link https://t.co/A9FyoRmots
😅
#EnjoyyourDay
@Aduiwayanga Ni App Bora ya Simu iliyosheheni Nukuu Mbalimbali, Misemo ya Kufurahisha, Memes, Misemo ya Hekima, Maisha, Mahusiano, Mafanikio na N.K
Download Swahili Status App kupitia playstore ✍️
🔻 https://t.co/A9FyoRmots
😅
#EnjoyyourDay
Bayern Munich, imethibitisha kuwa mshambuliaji wao mpya Sadio Mané atavaa jezi namba 17 klabuni hapo.
Mane amejiunga na Munich akitokea Liverpool kwa ada ya euro million 32 na kusaini mkataba wa miaka mitatu, anatarajia kuanza maandalizi na wachezaji wenzake hivi karibuni.