“Kuna wakati utashinda na kuna wakati utashindwa
kuna wakati utaheshimiwa na kuna wakati utadharauliwa
kuna wakati utaaminiwa na kuna wakati utasalitiwa
kuna wakati utafurahi na kuna wakati utaumia
kuna wakati utasifiwa na kuna wakati utakosolewa
kuna wakati utaambiwa ukweli na kuna wakati utadanganywa
kuna wakati utapatia na kuna wakati utakosea
kuna wakati utapata faida na kuna wakati utapata hasara
Na hayo ndio maisha.”
Kutakuwa na Watu ambao wanachukizwa na wewe kwa sababu hawaelewi ni kwa namna gani bado unaendelea kubarikiwa, licha ya kukupiga vita ili ushindwe. MUNGU yupo upande wako usichoke kupambana 🙏
Men are happier when,
1. Alone.
2. At the gym.
3. Eating clean and hydrating.
4. Building generational wealth.
5. Chasing their own vision and purpose.
What do you enjoy doing as a man?
"Mke anajua mume lazima awe na hela, mtoto anajua baba lazima awe na hela, baba anajua hana hela, siku za furaha kwa mwanaume ni chache nazo zimejaa taabu"
_OFFICIALTOMMPANTHER
Ukianza kupata pesa nyingi;
-Ajiri mfanyakazi wa ndani
-Nunua kitanda kizuri
-Nunua laptop yenye kasi
-Nunua Wifi yenye kasi ya 5G
-Nunua meza na kiti kizuri cha kufanyia kazi
-Jiunge gym nzuri
-Kula chakula bora
Ukifanya hivi, kiwango chako cha pesa kitaongezeka mara 10 zaidi
Tuwe na mazoea ya kujitunza na kujipenda baada ya kufanya kazi na kupata chochote kitu.
Chukua likizo. Nunua simu kali. Vaa vizuri. Umepambana, umestahili. Tumia pesa zako kwa ajili yako bila kuhisi kama unakosea..
Kataa unyonge, unyonge dhambi
@ManOfFocus_ As you grow older, you begin to understand: your father was just a man trying his best with what he knew. Forgive him. He was living life for the first time, too.
Unajitafuta!! Usisahau haya chief
1. Jilipe kwanza, walau 10% kwenye kila pato lako
2. Ishi chini ya kipato chako chief
3. Usijifananishe na mtu matumizi kama hamfanani mapato
4. Tumia mapato hayo kuanzisha chanzo kingine cha mapato
5. Weka kipaumbele emergency funds, ndo ulinzi wako chief
#ElimikaKifedha
Kama tu kujisimamia wewe mwenyewe ni tatizo, yaani huwezi kabisa kufanya ulichopanga mwenyewe
Sasa
-Utawezaje kusimamia biashara
-Utawezaje kusimamia pesa zako
-Utawezaje kusimamia muda wako
-Utawezaje kusimamia familia yako.
Fix yourself bro.