Yani liver naifananisha nawatz wachache wapigania haki na aman wanatekwa lakin bado hawaachi kupaza sauti "BRING BACK MSUDE" nasi ushindi utapatikana tu silazma iwe leo NEVR GIV UP TIME WILL COM. Ramadan kareem!!!
Wakenya (Wenye NCHI) wametoa siku 7 Kizza Besigye (Uganda) na Tundu Lissu (Tanzania) waachiwe huru.
Kinyume na hapo BALOZI za "Tanzania & Uganda" zilizopo Kenya watazifunga.
Huu ndio undugu-asanteni Familia.🇰🇪
REPOST 200