@Mashibe_Jr Una D2 ila umezipata kwa kugelezea ndio vilaza nyie ambao mnarudisha Taifa nyuma,huyu anategemea nguvu ya wananchi nakuuliza wewe ndio ungekuwa yeye ungefanya nini la zaidi ya hapo?usimbebeshe mtu mzigo ambao hata wewe na baba yalo hamuwezi kuubeba
@mangekimambi Tanzania bado sana hayo mambo dada utaumiza kichwa chako bure hakuna mtu wa kumsaidia Lisu hapa Watu hawa wakionekana wapiga kelele ni kupewa UDC kimya hakuna mtetezi mwenye moyo wa Lisu we unamuona mbowe anasema lolote ?kashalamba asari
@OriginoZee17 Elewa neno utabiri wa hali ya hewa,chukua neno utabiri yaani inawezekana ikawa au isiwe cz utabiri ni kitu ambacho sio kamili kwa 100% kubashiri tu.
@millardayo Yeye si anajiona mtemi anaweza kuamua lolote sasa afanye utemi kwenye hili kuendelea kuwalinda bodi ya ligi haone kama kuna Derby tena hapo maana anaifanya TFF kama Mali yake familia yake
@ismailhkaranda@FKihamu Kama bodi ya ligi itavunjws basi mechi itachezwa ila ujinga huu uliopo hakuna mechi hapo itachezwa na yanga watagomea km walivyogomea simba ili kila mtu kuonyesha nguvu yake
@GiftWilliam_ Rema huwa ana dharau sana alichofanys jana ni kudharau kabisa hawa trace sijui kama watakuja kufanya nae kazi tena huyu mtu ile dharau ni dk 2 tu unashuka zako akwenda blue carpet yaani dharau hakufanya soundcheck
@Saraphinalaul78 Inategemea na familia uliyonayo na mizunguko yako pia mfano mtu daily kazini mafuta kwenda na kurudi kwenye gari tshs 30,000 nyumbani unaacha 10k au 15 we kazini ule nywe maji jumla inafika 50k,lakini km hauna familia ni bachelor tu 10 k inawezekana kwa siku
@SamattaSam4714@godbless_lema We nae msenge kaa kimya unafiilwa na wachawi nini sasa unaona hastahili kupata haki yake kisa aliamua kukaa pembeni akawaacha chadema,usaliti waliufanya chadema kumleta Lowasa ndani ya mwezi tu agombee urais na kumtoa Dr Slaa ,je nani msaliti hapo?
@godbless_lema Duhh hij nchi aisee yote hiyo ili akae mpaka j3 sielewi wanaomfanyia hivi wanapata faida gani yaani alafu mtu inafika siku ya ibada unaenda kusali eti unajiliza mbele ya Mwenyezi Mungu akubariki kwa kumtendea mtu unyama wa kumnyima haki yake kusudi
@AnethSissya Dada hakuna point umeandika bora ungeendeles kukaa kimya watu waendelee kukuona una akili ingawa ni zero kichwani hakuna kitu cha maana umeandika unaacha kukemea uhuni uliofanyika kwenye uchaguzi