@nuru_yumyum Hii dunia hakuna mwanamke ambae sio level ya mwanaume sema huwa tuna watu wetu hatutaki kuwapoteza kwaajili ya tamaa ila hao warembo wanajichanganya na tunawatembezea ila akili zipo kwa wanaotuelewa
Umeona inavyouma eee??
Sasa hayo ndio maumivu ya dhuluma!!
Hayo ndio maumivu anayopata mtu anayenyimwa haki!!
Imagine hiyo ni haki kwenye mpira tu inauma hivyo!!
Sisi tunaonnyimwa haki za kuishi tunaumia vipi!??
GAMONDI Hajasoma script bila shaka. Ametoa pole kwa watanzania kwa yaliyotokea oktoba 29.
Dunia imesikia na imeona yote yaliyofanyika GIZANI. Kwa Hili WAPENDA HAKI tunaungana na GAMOND.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Kiukweli kabisa, yale yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa maandamano ya amani bali ulikuwa ni uhalifu na uharibifu uliopangwa na watu wachache kwa muda mrefu.
Nimeona chaguzi tangu wakati wa chama kimoja hadi sasa vyama vingi. Lakini niikiri hakuna wakati wa uchaguzi nimeona wananchi wengi wakiwa wamekosa matumaini kuhusu hatma ya UHAI wao kama mwaka huu 2025. Pengine ndiyo sababu Mwalimu Nyerere alituonya:
@ikulumawasliano Nyie watu wa ikulu mnatuona kama wapumbavu yenu maji mungu ametubariki
Mito
Bahari
Maziwa
Lkn mnatutesa na haya maji kama vile sisi sio binadam bwana leo ndio muna yafanyia kampeni 🚮🚮🚮🚮