Jana usiku nilikula ugali samaki, sasa nilimeza mfupa ya samaki kimakosa ikakwama kwa koo, mpaka sai naskia bado iko hapo kwa koo bana. Nikimeza mate naiskia tu.