@omwambaKE Hawa watu wa 2nk., usiwai panda hizo gari zao. Last year dec nikienda western nilipa huyo peter pesa akaniandikia receipt ya watu wawili. Nilikuwa niende next day, kufika hapo jama ako mitini, watu nimepata hapo wanasema ati huwa hawakubali receipt ziko handwriten. Shame on them
@IsaacInewto@omwambaKE Mkubwa, the movement was gΓ²od before. Look at the piece of work that is coming in. If we are not careful, we will recycle that old stuff stupid mpigs we have today. We will be crying after 10th August. Believe me
@kimaiyo Na hivyo ndio naambia watu. That boy ako tu dcp na ni kwa sababu alifukuzwa, hukumbuki akiambia watu ati wakienda maandamano wasitarajie polisi wawakiss
Shida yetu ni ignoring red flags. Just imagine ati Aisha Jumwa na Waiguru ati wako nyuma yake