“Ushauri wangu kwako,usirithi adui wa mtu,tengeneza adui wako. Na ushauri wangu kwako ni kuwa hunasababu ya kutengeneza adui, ni jambo ambalo halina tija. Mchekulie Kila mtu vile alivyo” Jakaya Kikwete
Ukipewa kikubwa shukuru sana. Ukipewa kidogo shukuru zaidi. Hicho ukionacho kidogo, chaweza kuwa ndio kikubwa kutoka kwa mtoaji. Hicho kidogo chaweza pia kuwa kipimo cha kuujaribu moyo wako wa shukrani na uungwana wako.
With no shame i will brag about my LORD..Hes just an amazing God,no matter the situation i will thank his presence in my life.Maisha yangu yalipo kua fumbo ulinisimamia Mungu wangu,
Asante kwa furaha,huzuni na vyote..
Upendo wako ni mkuu.
I love you lord..Sito acha kiri hilo🥰