Kwenye mahusiano ya kimataifa, diplomasia na Itifaki mkuu wa nchi(head of state) kutembea na familia yake au mmoja wa mwanafamilia kwenye ziara ya kiserikali (state visit) ambaye anajulikana kama FIRST COMPANION ni tamaduni ya mda mrefu na ipo kwenye Itifaki
Mawingu atabaki yule dogo wa chaka to chaka bed to bed midfileder na yule janja aliyepewa crown kama limbikizo la mshahara wa miaka 10 naona magwiji wanasepa ile media
Tutorial Assistant analipwa 1.5M per Month
Assistant Lecturer analipwa 2.5M per Month
Lecturer (PhD) analipwa 3.5M per Month
Senior Lecturer analipwa 5M per Month
Professor analipwa 8M per Month