Kuna theory fulani inaitwa the 4 burner theory. Inasemanga to be super successful at something in life, one burner or two must be sacrificed. The 4 burners are family, health , friends & work. Most great founders always operate minus one.
Denzel Washington was right, always be thankful for the bad things in life. They open your eyes to see the good things you weren't paying attention to before.
Saa ingine mwanaume amka mapema, bibi akiamka akupate umekalia stool kwa corner ya bedroom na panga kwa mapaja. Mwambie umeota vibaya, alizaa mtoto sio wako. Alafu malizia iyo story apo, enda kazi. Siku ingine kuja nyumbani ukitafuna bamboo stick, bibi akikuuliza kwa nini unakula miti mwambie ulinunua kwa giza ukidhania ni miwa. Saa ingine ingia kwa nyumba, piga somasault juu ya meza, tokea kwa dirisha na upotee siku mbili. Ukirudi waambie hutaki kuulizwa maswali. Psychology warfare! They dont teach you this in unifasti buana😂😂
@Griz_zly8 Umenikumbusha nauko 2012 kuna baddie alikuwa ananiwachia mtoi wake ndio aende sherehe. Sa alikuwa anawacha kama amenipea kamoja ka haraka haraka ndio nikubali kukaa na mjunior wake. Haha she was a peng tho'. I miss those old gone days haha