@cw_pedro Kwetu sifa ya mbunge ni kujua kusoma na kuandika sasa haoo unaona ni sawa kweli maana kuna siku tutapata spika mwenye sifa hizi halafu aje kukaimu uraisi
@earadiofm Sasa vifaa vimezidi baada ya makisio kuwa zaidi ya uhalisia hapo afisa ununuzi anahisikaje?. Huyo analetewa tu mahitaji so ananunua kulingana na maombi
Klabu ya Geita Gold ikishirikiana na halmashauri ya Geita inaendelea na ujenzi wa uwanja wao wenye uwezo wa kubeba mashabiki 12,000. Kampuni ya Geita Gold imetoa Tsh 2.4bn za ujenzi kama awamu ya kwanza
@darmpya_@ccm_tanzania Kabla ya kuwa katibu mkuu wa ccm alipewa kazi ya kuongoza kamati ya kufuatilia mali za chama. Angewezaje kuwa kwenye kamati kama sio mwanachama.???
@darmpya_@SuluhuSamia Kisa mwanao kanyimwa ubunge
Mahusiano gani yaliyohalibika!?, kuna ubarozi wowote uliofungwa miradi yote ya maboresho ya miji , manispaa na majiji ni mkopo wa benki ya dunia kama mahusiano yangekuwa mabaya wangetoa hizo pesa. Njaa na unafiki mbaya sana