@Tariq9116404@s_sophagi Wanaotukana si wote, na wanaotukana wana sababu zao, mtu kama Sativa me akitukana sioni cha ajabu zaidi ya kuona ni uchungu ambao mwana anaupitia hasa akikumbuka kuwa alikua na asilimia chache za kuishi hapa duniani
@hauleisaac84@INFLUENCERjr Kwa mantiki yako kila mwenye puto ni mchezaji mzuri? Huangalii competition from others, Lewandowski prime yake kulikua Kuna Messi, Ronaldo,Neymar, Benzema, Suarez. Usijisifu una mbio sifu na wanaokukimbiza...Neymar ni mchezaji mzuri sana Kwa era yake, baada ya Messi na Cr7 ni Ney
@Gibson44178359@TzAstra2014 Man jamaa alikua na pressure na familia ukizingatia watoto wake ni wadogo sana, na maisha ya kuishi nje ya nchi bila pesa au kipato Cha uhakika ni msala, hao viongozi wakubwa chadema wananufaika na asylum afu wanawasahau hao watu ambao wameshajiwekea doa kwenye serikali
Tuna jamii ambayo haioni #Boriti kwenye jicho la serikali, watawala
na dola.
Lakini inaona #Kibanzi kwenye jicho la wanaharakati/wapinzani na raia wanaokosoa na kukemea maovu ya serikali, watawala na dola.
#NB Boriti ni kubwa kuliko kibanzi.
Anzeni kwenye Boriti kabla ya kibanzi.
Jamii inayaona matusi na lugha kali za wakosoaji wa serikali.
Lakini haioni mauaji yanayofanywa na dola & serikali.
Yaani unaumizwa na kuchukizwa na matusi ya Sativa, kuliko unavyoumizwa na ukatili wa mtu aliyempiga risasi ya kichwa๐คทโโ๏ธ
Tuwe wakweli
kipi kilipaswa kikuume zaidi hapo?๐คทโโ๏ธ
Unamkemea mchizi asitukane,
its okayโฆlakini kwanini humkemei aliempiga risasi?๐คทโโ๏ธ
Tusi linaweza kuuma kuliko shambulio la risasi ya kichwa?
(Boriti ni kubwa kuliko kibanzi)
Jamii inaumizwa na lugha kali za wapinzani wakikemea maovu.
(kwa kuziita ni matusi/uchochezi/uchonganishi)
Kuliko inavyoumizwa na muuaji aliyesababisha mama anazika nguo za mwanae kwa maana hajauona mwili wa mwanae mwaka wa tatu sasa.
Ni kama jamii inachagua ku~attack upande inaoumudu, na sio upande unaostahili lawama.
Huchukizwi/Hukemei anaesababisha tatizo kwa vitendo, unachukizwa na anaye~react kwa maneno/mdomo.
Tusi/lugha kali/An aggressive tone
haviumi kama
-Shambulio la risasi kwa Sativa
-Mauaji ya Mzee Kibao
-Utekwaji wa Mdude & Soka & HP
-Mauaji ya watu 500+ Oct 29th
-Utekwaji wa Twaha Mwaipaya
Kabla ya kuwakemea hawa tunaowaona wanatukana, tuanze kwanza kuchukizwa na kukemea hawa wanaoua na kuteka na kuwapa kesi ndugu zetu!!
BORITI > KIBANZI
Mchana mwingine tena hakuna taarifa kuhusu kupatikana kwa ndugu yangu TWAHA.
Wakenya hili litawatafuna mileleโndugu yetu anahitajika akiwa hai si vinginevyo.
#FreeTwahaMwaipaya
@SkySportsNews Glazers should sack themselves an leave the club rather than Carrick? How many good coaches were there and still achieved nothing, we fans know the problem is within the administration not the coach