@fbuyobe Baada ya maombi kweli ikatiki mwendazake akasepa na yeye na maana. Hii ya sasa inaitwa novena yani kwakifupi ni albadili ya kikristo. Si mumeona damu za watu zinavyo wahangaisha watesi wetu
@MariaSTsehai Hao wageni nazani wamepata taarifa wasije kutusababishia vita ya nchi na nchi sisi tunataka tumalizane ili nchi iwe safi harafu tutawapa taarifa