Kwa wale mlitaka kujua maoni yangu kuhusu issue ya Trump kusitisha misaada ya dawa za ukimwi na malaria na kadhalikaβ¦.. Najua hamkutegemea niwe na maoni haya ila huu ndio ukweli mchungu
@SuluhuSamia
@Exquisite254 Kuna vile unanichanganya hapa, uliwahi kupost kua uwepo wa aliens ni fiction kwamba hawapo, Leo unasema wanaweza kuwepo upande wa pili wa dunia