Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐Come and visit London’s Home of Trophies. 🏆
Book your Stadium Tour at Stamford Bridge now. ⭐️⭐️
@MiriamMkanaka Ni Kweli Kabisa Sio Kumjulia Tu Hali...
Ukimuona Ndugu,Jamaa Au Rafiki Yako Kuna Mabadiliko Ya Gafla Ya Unywaji Wa Pombe Kupitiliza,Ukimya Usio Wa Kawaida,Mwili Kupoteza Nuru Na Kupenda Kukaa Peke Yake Muda Mwingi Kaa Naye Chini Yupo Kwenye Hali Ya Hatari
Hali Ni Mbaya Sana
Ndg Yetu SEKELA JOHNSON GEORGE Mwanachama wa CHADEMA Mkoani Mbeya anauguza mamaake, Mama Yetu, ni Mwaka wa tatu sasa Mama amepooza, Hali Ya Uchumi ni Changamoto
Sekela ni Kiongozi wa BAVICHA Jimbo la Mbeya Mjini.
Kwa Unyenyekevu Tumekuja Kwenu tunaomba Msaada, Apate BIMA itakayo wezesha kupata matibabu na Na Mahitaji Mengine.
Tunaomba Mchango wako utumwe kwa namba ya Simu M-PESA 0797811501 SEKELA JOHNSON GEORGE.
LENGO ni Kupata Tsh. 2,500,000/= (Milioni Mbili na Laki 5)
1. Kwaajili Ya Bima na matibabu ya Ndugu Mama yake.
2. Mtaji Wa Huyu Dada SEKELA Afanye Kashughuli Kumudu Kuhudumia Mama Yake(Familia).
Asanteni na Mungu awabariki Kwa Kuleta Furaha na Tabasamu Tena.
GEN Z TUMEAMUA KUFUNGA MWAKA NA BABA LISSU. MASAA MACHACHE SASA TUMEPATA 1M🥳
GEN Z tumeamua masaa yetu 48 tumalize na BABA Gerezani, tunataka avuke mwaka na tabasamu kuwa bado tupo nae kwa HALI NA MALI.
Maelekezo yanajieleza kwenye bango wanangu tuchange tuokoe muda. Kama una jero,buku,elfu kumi, elfu hamsini,laki, milioni mwaga moto mwingi hapooo mpaka WAKOLINI WEUSI WASONYE WAPASUKE.🔥🔥🔥
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Hadi muda huu tumefanikiwa kupata Tsh 2,964,843
Lengo letu ni kupata milioni tano ili hawa ndugu zetu waweze kupata matibabu.
Tunahitaji mchango wa kila Mtanzania ili tuweze kufanikisha jambo hili, tunapokea kiasi chochote kile ulichojaliwa na Mungu.
Michango itumwe kwenye namba hii-;
Mpesa - 0744719187
Jina - Musa Ndile
TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina:
Catherine johaness protace
Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam.
Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar.
Catherine amekosa matumaini ya kuendelea na Chuo baada ya kaka yake Baraka Chacha Mwita aliekuwa anamsomesha kuvunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini, mpaka sasa yupo gerezani.
Mahitaji muhimu ya Catherine na Familia yake.
1.Ada ya Chuo Million 1
2.Bima ya Afya
3.Kodi ya Nyumba
4.Mahitaji ya kila siku
5.Matumizi ya Kaka yake magereza.
Tumchangie kiasi cha Million 5, namba yake ni 0740264760
Catherine johaness protace
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
MAJIZZO, HII NI PERSONAL
Concern yako sio USTAWI WA MUZIKI, bali ni kulinda MASLAHI BINAFSI (MEDIA, NAFASI kwa Watawala). Kama uliona ni suala la kisiasa, kwanini uliIileta mezani na kumtaja SUGU?
Umeguswa na Wasanii na kufanya press, ila hujaguswa na Maelfu ya Watanzania WALIOUWAWA ambao pengine walikuwa Wasikilizaji wa EFM na TV-E?!
Interview yako Deutsche-Welle, unasema “umewaombea msamaha KAMA kuna kauli mbaya walitoa”.
Unajifanya hujui kauli zilizotolewa? Unataka SULUHU ila hutaki ku-Admit KOSA? Sawa tu na SERIKALI HARAMU na ninaelewa kwanini unafanana nao. Walikupa Tenda ya KAMPENI; ni dhahiri, LENU MOJA.
Unataka KUINUA MUZIKI, umefanya nini hadi sasa? Una SUPERSTAR umemtengeneza hadi leo? Clouds, East Africa, Wasafi wametengeneza Stars! Wewe yupi? Na usiongelee SINGELI, maana ni Street Movement ilikuwepo tayari; na hata ulipoidandia haujazalisha Star wa kudumu.
RUBY, the Best in East Africa, alikuja umsaidie, ukafeli na mwishowe ikawa “Story za Ngono”. Tulikustahi wakati Ruby anafunguka, ila sio kama hatukuamini; file lako tunalo. Kumbuka unaowaleteaga hizo Story ni PISI ZETU na DADA ZETU. Tena sijui ni masharti ya Mganga, unatakaga upewe Ofisini.
Siku ulijiongelesha about HIP HOP na Show ya Mlimani City. Hiyo ndio akili yako ya kuiinua? How is that SUSTAINABLE? Mimi TVE wakati mnajitafuta mmenitumia sana kushoot PILOT SHOW zenu, tena mlikuwa mnaniita on short notice. Ila 2018 natoa album ya KISIMANI mkaninyima Interview hata kutaimbulisha. Huthamini effort za Artists wanaojituma, utainuaje Music? RUGE alituma team ya Media hadi kwenye Rehearsals za bendi!
Unajisogeza kwenye movements ila haupo tayari kupambana; Ruge alikua na Uwezo ndio akawateka Watawala sio kwa janja janja. U-Godfather sio rahisi hivyo, eti kisa una Media, vi Spika sijui na umepewa hela na CCM once ndio uhutubie Taifa, na CHARISMA huna!
Pia ACHA UNAFIKI. Ungeguswa kwanza na suala la KULIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI! Iweje Uchumi wa Wasanii wakati WAAJIRIWA WAKO tu HUJAWALIPA hadi WAHAINI tuwasitiri mitaani huku.
Kiufupi hatukusikilizi na Hatukuzingatii cause huna ENOUGH CREDIBILITY!
Hii sio tena The Leader bali ni
BEBERU KASEMA!
*SALAMU ZA SHUKRANI NA MAFANIKIO KUHUSU MCHANGO WA JOJI WAYANGA.*
Hello Familia ya Watanzania.
Jana ya tarehe 14.12.2025
tuliwasilisha kwenu ombi la mchango wa hiari kwaajili kufanikisha kununua mguu bandia kwaajili ya Joji Wayanga ambaye alipoteza Mguu mmoja tarehe 13.7.2025 kufuatia ajari ya gari.
Tunapenda kutoa taarifa kwamba ndani ya masaa 24
kiasi cha TSH 3,274,227/- kimekusanywa. Makusanyo hayo yamevuka lengo,mtakumbuka kwamba kiasi kilichotakiwa ni TSH2,200,000/-.
Tunawashukuru kwa ushirikiano na upendo wenu kwa Joji Wayanga.
Wale ambao wangenda kuwasiliana zaidi na Joji Wayanga,anapatikana kupitia 0760638604
Mungu awabariki nyote.