Maisha ni maswali!
....kama hauna uwezo wa kujiuliza maswali, hautakuwa na uwezo wa kuuliza wala kujibu maswali. Na ukifikia hapo wewe ni sawa tu na mfu.
@Mwanahalisitz Sheikh kaanzia mbaaaaali!
....ila kajielezea elezea kidogo maana hata baada ya kupewa cha kuongea nae akatia ufundi ufundi wake kidogo, ila sasa atupe nafasi tumuulize maswali kama hamjacheka hapa. Tumwachie Bonny amjibu.