Kaulimbiu za baadhi ya viongozi wa kisiasa
Zilitumiwa na vijana wakati wa ghasia kama mwongozo. Tume iligundua hii ilikuwa
mkakati wa kuwatumia vijana kufikia malengo ya kisiasa bila kujali madhara yaliyowapata.
Mbele ya Tume, baadhi ya vijana walikiri kuwa walikuwa wakifanya kazi ya kutoa maudhui mtandaoni ili kuwachochea vijana wenzao. Walikuwa na maagizo ya kurekodi kila kitu kinachohusiana na JWTZ ili kueneza uongo kwamba wao ni pamoja
nao.
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Wanaishabikia changamoto za kidiplomasia za nchi yetu na wanaochochea maandamano na vurugu nchini wanaishi wao na familia zao nchi za nje. Hawana maslahi ya moja kwa moja na Taifa letu. Tuwapuuze.
#HakiNaWajibu
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Kama ambavyo Wanaharakati Uchwara hawapendi ufafanuzi au kauli yoyote ile inayoitetea Serikali ndivyo mabwana zao huko Ulaya walichofanywa kwa kutozingatia maelezo ambayo Serikali iliyatoa katika Bunge la EU. Wananchi tutazingatia ufafanuzi na maelezo yaliyotolewa na Serikali yetu.
#HakiNaWajibu
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Serikali imeleeza kwamba Bunge la Ulaya halijazingatia hatua ambazo Serikali imezichukua kufuatia vurugu za Oktoba 29. Tunafahamu kwamba David James McAllister ni Mbunge wa EU na Mwanasiasa wa Chama cha CDU cha Ujerumani chenye uhusiano na Chadema ya Tanzania. Ndiyo maana kama Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya EU hakuzingatia maelezo ya Serikali kama alivyokuwa anafanya wakati wa Rais Magufuli. Tumewakataa Wanaharakati Uchwara.
#HakiNaWajibu
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Uamuzi wa kura katika Bunge la Ulaya (EU) kuhusu misaada kwa Tanzania sio uamuzi wa mwisho. Kuna mamlaka nyingine ambayo ndiyo inaweza kutoa uamuzi wa mwisho. Wanaharakati Uchwara msiwapotoshe wananchi kuhusu kura hiyo.
Tume ilibaini kuwa mitandao ya kijamii ilikuwa chombo kikuu cha kuwadanganya vijana kushiriki vurugu. Maudhui yaliyoandaliwa yaliwalenga vijana hasa na kuwaahidi mabadiliko. Badala yake yaliwaingiza katika hatari na madhara makubwa. #VijanaWalidanganywa
Kwa mujibu wa polisi, baadhi ya ujumbe unaochapishwa mtandaoni unaelezwa kuwa na nia ya kuvuruga utulivu wa jamii kwa kusababisha taharuki na migogoro. Polisi wamesisitiza kuwa uhuru wa kujieleza haupaswi kutumika kama
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Serikali imeleeza kwamba Bunge la Ulaya halijazingatia hatua ambazo Serikali imezichukua kufuatia vurugu za Oktoba 29. Tunafahamu kwamba David James McAllister ni Mbunge wa EU na Mwanasiasa wa Chama cha CDU cha Ujerumani
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Ni lazima kama Taifa tujipange kujitegemea ili kuepuka masuala yetu ya ndani kuingiliwa na taasisi za nje. Pamoja na kura ya Bunge la Ulaya, misaada ya EU kuja Tanzania inayowekwenda Serikalini moja kwa moja ni Euro milioni 17 pekee na fedha nyingine
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Kama ambavyo Wanaharakati Uchwara hawapendi ufafanuzi au kauli yoyote ile inayoitetea Serikali ndivyo mabwana zao huko Ulaya walichofanywa kwa kutozingatia maelezo ambayo Serikali iliyatoa katika Bunge la EU.
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Wanaishabikia changamoto za kidiplomasia za nchi yetu na wanaochochea maandamano na vurugu nchini wanaishi wao na familia zao nchi za nje. Hawana maslahi ya moja kwa moja na Taifa letu. Tuwapuuze.
#HakiNaWajibu
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Wanaunga mkono mchakato wa maridhiano kama ulivyoahidiwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia falsafa yake ya R nne/4R lakini kwenye mikutano na kauli zao wanapinga ili kuwaridhisha Wanaharakati Uchwara wanaowashikia akili zao.
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Wanaunda Kamati za kushauri kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na wakati huo huo wanaratibu maandamano yenye malengo ya kuharibu amani na utulivu nchini. Watu hawa hawana nia njema na Taifa letu. Tuwakatae
#HakiNaWajibu
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Katiba ya nchi inapatikana kwa kujenga muafaka wa kitaifa. Muafaka wa kitaifa haujengwi ikiwa kuna Chama kinataka kujipa hati miliki ya Katiba Mpya, Katiba ni ya wananchi wote. Haiwezekani Chama kimoja cha siasa kikajipa umiliki wa mchakato huo,
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Wanaharakati Uchwara wamebaki kudandia umbea wanaotumiwa mtandaoni na kushabikia kila tukio linalotokea nchini badala ya kuwa na agenda mahususi kwa maendeleo ya nchi. Asasi za kiraia na Vyama vya siasa vinatakuwa kuwa jicho Mbadala la Serikali kisera. Badala yake wamegeukia propaganda na kuhamasisha uasi nchini. Hatutakubali kama Taifa.
#HakiNaWajibu
TANZANIA YANGA’RA MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA KUPITIA VIVUTIO VYA UTALII.
Tanzania inajivunia kuwa Taifa la kwanza Barani Afrika kutumia Kombe la dunia la FIFA 2026 Kama jukwaa kubwa la kimataifa kuonesha vivutio vyake
Matokeo ya Tume yalithibitisha kuwa polisi
walikumbana na kiwango cha ghasia
ambacho hakikuwa kinatarajiwa. Walikuwa wamejiandaa na maandamano ya amani lakini walikumbana na shambulio lililoratibiwa katika maeneo mengi
Kulingana na ripoti ya Tume, taarifa za ghasia zilikuwa zimesambaa sana katika jamii na mitandao ya kijamii kabla ya Oktoba 29. Wananchi walishuhudia ujumbe wa kuhamasisha na kuogofya.
Tume ilifichua kuwa ghasia zilikuwa na
uratibu wa kitaifa na zilitokea katika mikoa
14 na wilaya 43. Mkakati wa dispersal
violence ulikuwa na lengo la kufanya polisi washindwe kujibu kila mahali.