#TaifaKwanza#KataaVurugu
Wanaunga mkono mchakato wa maridhiano kama ulivyoahidiwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia falsafa yake ya R nne/4R lakini kwenye mikutano na kauli zao wanapinga ili kuwaridhisha Wanaharakati Uchwara wanaowashikia akili zao.
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Wanaunda Kamati za kushauri kuhusu mchakato wa Katiba Mpya na wakati huo huo wanaratibu maandamano yenye malengo ya kuharibu amani na utulivu nchini. Watu hawa hawana nia njema na Taifa letu. Tuwakatae
#HakiNaWajibu
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Katiba ya nchi inapatikana kwa kujenga muafaka wa kitaifa. Muafaka wa kitaifa haujengwi ikiwa kuna Chama kinataka kujipa hati miliki ya Katiba Mpya, Katiba ni ya wananchi wote. Haiwezekani Chama kimoja cha siasa kikajipa umiliki wa mchakato huo,
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Wanaharakati Uchwara wamebaki kudandia umbea wanaotumiwa mtandaoni na kushabikia kila tukio linalotokea nchini badala ya kuwa na agenda mahususi kwa maendeleo ya nchi. Asasi za kiraia na Vyama vya siasa vinatakuwa kuwa jicho Mbadala la Serikali kisera. Badala yake wamegeukia propaganda na kuhamasisha uasi nchini. Hatutakubali kama Taifa.
#HakiNaWajibu
TANZANIA YANGA’RA MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA KUPITIA VIVUTIO VYA UTALII.
Tanzania inajivunia kuwa Taifa la kwanza Barani Afrika kutumia Kombe la dunia la FIFA 2026 Kama jukwaa kubwa la kimataifa kuonesha vivutio vyake
Matokeo ya Tume yalithibitisha kuwa polisi
walikumbana na kiwango cha ghasia
ambacho hakikuwa kinatarajiwa. Walikuwa wamejiandaa na maandamano ya amani lakini walikumbana na shambulio lililoratibiwa katika maeneo mengi
Kulingana na ripoti ya Tume, taarifa za ghasia zilikuwa zimesambaa sana katika jamii na mitandao ya kijamii kabla ya Oktoba 29. Wananchi walishuhudia ujumbe wa kuhamasisha na kuogofya.
Tume ilifichua kuwa ghasia zilikuwa na
uratibu wa kitaifa na zilitokea katika mikoa
14 na wilaya 43. Mkakati wa dispersal
violence ulikuwa na lengo la kufanya polisi washindwe kujibu kila mahali.
Matokeo ya uchunguzi yalithibitisha kuwa
silaha zilizotumika zilikuwa za makusudi
kwa ajili ya karibu na uharibifu. Rungu, mapanga, mawe na mabomu ya petroli vilitumika katika shambulio lililoratibiwa.
Serikali Yaongeza Uwekezaji wa Vifaa Tiba vya Kisasa Kuimarisha Huduma za Damu
Katika kuendelea kuboresha huduma za afya nchini, Serikali imenunua mashine za kuchakata damu, mashine za apheresis pamoja na vifaa tiba vya kisasa vyenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 2.05. Uwekezaji huu unalenga kuongeza ubora na usalama wa huduma za damu, kuimarisha uwezo wa vituo vya afya na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za matibabu kwa wakati. #UkweliDhidiYaPropaganda
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Chande
Mradi wa EACOP Wafikia 82.6%, Ukichochea Ajira na Ukuaji wa Uchumi
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania umefikia asilimia 82.6 ya utekelezaji wake. Mradi huu mkubwa wa kimkakati unatarajiwa kuimarisha rasilimali watu kupitia ajira, uhamishaji wa ujuzi na ushiriki wa wazawa katika shughuli za kiuchumi. Aidha, unatarajiwa kuchochea ukuaji wa uchumi endelevu kwa kuongeza uwekezaji, mapato ya Serikali na fursa za biashara katika maeneo yanayopitiwa na bomba hilo. #UkweliDhidiYaPropaganda
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Chande
Rais Samia Afungua Fursa: Sekta Binafsi Yawekeza Trilioni 60.1
Sekta binafsi inaendelea kuwa mhimili muhimu wa maendeleo ya uchumi wa Tanzania, ikichangia kwa kiwango kikubwa katika uwekezaji, uzalishaji na uundaji wa ajira. Kwa mwaka wa fedha 2026/27, sekta binafsi inatarajiwa kuwekeza takribani Shilingi trilioni 60.1, sawa na asilimia 70 ya rasilimali zote za uwekezaji nchini. Hii inaonesha imani kubwa ya wawekezaji katika mazingira ya biashara yaliyoboreshwa na nafasi ya sekta binafsi katika kuharakisha ukuaji wa uchumi jumuishi na endelevu. #UkweliDhidiYaPropaganda
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Chande
Mtandao wa Barabara Wazidi Kuimarisha Muunganiko wa Tanzania
Tanzania ina mtandao wa barabara wenye urefu wa kilomita 181,883.6 unaounganisha mikoa, wilaya na vijiji nchini kote. Kati ya hizo, kilomita 16,026 ni za lami, kilomita 72,104 ni za changarawe na kilomita 93,753 ni za udongo. Kuendelea kupanuka na kuboreshwa kwa mtandao huu wa barabara kunarahisisha usafiri na usafirishaji, kuchochea biashara, kuimarisha huduma za kijamii na kufungua fursa za kiuchumi kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi. #UkweliDhidiYaPropaganda
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Chande
Utajiri wa Wanyamapori wa Tanzania Waendelea Kung'ara Afrika
Tanzania imeendelea kuthibitisha nafasi yake kama kinara wa uhifadhi wa wanyamapori barani Afrika kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya nyati wapatao 328,437 na simba 17,200. Mafanikio haya yanaakisi uwekezaji mkubwa wa Serikali katika uhifadhi wa mazingira, usimamizi wa hifadhi na mapori ya akiba, pamoja na ushirikiano wa wananchi katika kulinda rasilimali za asili. Utajiri huu wa wanyamapori unaendelea kuchangia ukuaji wa sekta ya utalii, ajira na mapato ya taifa. #UkweliDhidiYaPropaganda
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Chande
Serikali Yaongeza Uwekezaji wa Vifaa Tiba vya Kisasa Kuimarisha Huduma za Damu
Katika kuendelea kuboresha huduma za afya nchini, Serikali imenunua mashine za kuchakata damu, mashine za apheresis pamoja na vifaa tiba vya
Mradi wa EACOP Wafikia 82.6%, Ukichochea Ajira na Ukuaji wa Uchumi
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania umefikia asilimia 82.6 ya utekelezaji wake.
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Siku zote muda ni Hakimu mzuri. Walioisema Serikali na Rais wetu kwamba ni haramu leo wamerudi kupiga magoti kuomba malimbikizo ya ruzuku ya mwaka wa fedha uliopita na wametambua kwamba kuna Serikali na Viongozi wake.
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Baada ya Tume ya Rais iliyochunguza ghasia za Oktoba 29 kuwasilisha taarifa yake; Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliahidi kuundwa kwa Tume ya Maridhiano baada ya mchakato wa kushughulikia jinai zilizojitokeza kukamilika. Tuipe muda Serikali kukamilisha hatua zinazofuata ili kuipatia nchi yetu Katiba Mpya. Tuwakatae Wanaharakati Uchwara wasiolitakia mema Taifa letu.
#HakiNaWajibu
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Wanaunga mkono mchakato wa maridhiano kama ulivyoahidiwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia falsafa yake ya R nne/4R lakini kwenye mikutano na kauli zao wanapinga ili kuwaridhisha Wanaharakati Uchwara wanaowashikia akili zao. Serikali imeahidi kuipatia nchi yetu Katiba Mpya na lengo hilo litatekelezwa.
#HakiNaWajibu
#TaifaKwanza#KataaVurugu
Siku zote muda ni Hakimu mzuri. Walioisema Serikali na Rais wetu kwamba ni haramu leo wamerudi kupiga magoti kuomba malimbikizo ya ruzuku ya mwaka wa fedha uliopita na wametambua kwamba kuna Serikali na Viongozi wake.