unatarajiwa kufanyika jumatano ya Novemba 27,2024 ambapo Manispaa ya Shinyanga ina kata 17, vijiji 17, vitongoji 84 na mitaa 55,Viogozi watakaochaguliwa kupitia uchaguzi huo wa Serikali za mitaa ni pamoja na Wenyeviti wa Mitaa, vijiji na vitongoji pamoja na wajumbe wao.
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI MANISPAA YA SHINYANGA MWL.ALEXIUS KAGUNZE AWAAPISHA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA.
NA SHINYANGA MC
MSIMAMIZI wa uchaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze amewaapisha jumla ya wasimamizi wa vituo vya Kupigia kura
Katika hatua nyingine Ndg. Kafutila amesema vituo vitafunguliwa kuanzia saa mbili kamili asubuhi(2:00) na kufungwa saa kumi kamili jioni (10:00) hivyo haitaruhusiwa kwa mtu yoyote kupiga kura nje au baada ya muda elekezi.
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUHESHIMU KANUNI NA SHERIA ZA UCHAGUZI.
Na, Shinyanga MC.
Vyama vya Siasa wilayani Shinyanga Vimeaswa Kuzingatia sheria na kanuni za uchaguzi ili kuepusha uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27,2024.
amesema
Ndg. Shija.
Kwa upande wake Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze amewataka viongozi hao wa vyama vya siasa kuwahamasisha wanachama wao, na wananchi kwa ujumla kujitokeza kushiriki uchaguzi wa
walio chini yao wanajiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili waweze kuchagua viongozi bora kwa usitawi wa taifa.
Zoezi la uandikishaji wa daftari la wakazi (wapiga kura Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024) limeanza Oktoba 11,2024 ambalo litahitimishwa Oktoba 20,2024.
DC MTATIRO AMPONGEZA MKURUGENZI WA MANISPAA YA SHINYANGA KWA UHAMASISHAJI MZURI KWA WANANCHI UANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA 2024
Na. Shinyanga MC
kazi,mimi kama Mkuu wa wilaya najivunia kuwa na mkurugenzi kama huyu ndani ya wilaya hii asante sana Mhe. Rais.” amesema DC Mtatiro.
Katika hatua nyingine DC mtatiro amewataka wakuu wa vitengo na taasisi kuhakikisha watumishi wote