@Kil0voltI@iboysean Dah umenikumbusha home nilifanya installation 2010 world cup South Africa nikaachana na mabanda umiza till now
Sema mabanda umiza Wana flavour yao tamu sana kule kila mja anajua mpira๐
@ReganTesla_ Omba tv Yako ya tcl isipate shida kitu warranty kwao hawakitambui kabisa
Ndani ya warranty tv ikapata shida nikarudisha kwa muuzaji mwisho wa siku ni danadana hadi nimesamehe
Tcl ni wahuni
@IAMartin_@wizara_afyatz Kuna vitu ukiwa kama mtanzania Yani unajilaumu kuzaliwa kwenye nchi kama hii yenye vitu vya hovyo namna hii. Kwenye afya ni kitu muhimu sana.
Nasikitikia waafhirika wa ukimwi
@_Minihaji Ukiona Kuna ugumu wowote katika kufanya mkeo afanane na wewe kwenye miaka hii miwili ya ndoa yenu basi kaa vzr Kuna magumu mbele maana ndoa hupimwa ndani ya miaka mi5.
Ulishindwaje kuonyesha namna ya maisha yko kabla ya ndoa?. Sio nguo tu ipo siku hata simu yake utaiona kwa mbal
@ReganTesla_ Nitanunua chochote online market lkn sio tv ! Never jamaa kariakoo tv ikifika mikoani kama itapata shida yyte mbeleni imekula kwako. Buy smart/android/google tv at nearest dealer siku Iko na shida unapata usaidizi
@YerickoNyerereT@HildaNewton21 Msiba wa muasisi pia unajifanya kutoa ushauri
Wewe kaa mpembeni subiri yale maneno Yako ya Chadema kuwa imeshajifia yatimie
Chadema waache na msiba wao
@swahilitimes Huu ni ushamba tena mkubwa sana
Kwani hakuna blank cheque? Hadi mshike manoti yote hayo?
IPO siku mishahara ya watu itakwama halafu kwenye michezo mje na mizigo hii kama watz wataelewana