@TMnyama4_ Acha ufala we mkenya unakila kitu hapo ulipo ondoka nenda tafuta sehemu hata nchi nyingine anzisha maisha yako,hio ndo furaha yako usiiache ikapotea japo pia wazazi wanahitaji kuheshimiwa ila fanya kile kitu roho inapenda,kuna maisha baada ya wazazi
@kalulajr7@Salym Hata mimi nashangaa mbona ameongea kitu clear kabisa wale wanaohoji wanahoji kwa mihemko wanapiga kelele tu wakati haohao na wengine wamo kwaio wanatublackmail tu.
Kina dada eti ni kweli mnaweza kuijua tabia ya mwanaume kupitia viatu anavyovaa?
Viatu vyenyewe ndio vipo @roby_sportswear sasa π€£ kwahiyo Roby analeta viatu kulingana na tabia zetu au?