lakn hilo halinyimi kujifunza vitu kutoka kwake mfano MIHEMUKO NA HISIA kwenye mpira hanaa ni mtu alie wazi sana kwenye hiyo sector piaa hata kwenye mambo mengine ya social yupo pow najifunzaa vingi kimyaa kimyaa kupitiaa yeye naamini one day ntaonana nae hata nimshikee mkono tu
Kwenye maisha huwa kila mtu anakuwa na Role model wake anayefuatiliaa inatagemeaaa na Kwenye nyanjaa ipi but for my self to be honest @George_Ambangil ni best 👌 👍 kwangu ni mtu ambaye namfahamu tu kupitiaaa sports na sijawai kumuonaa na mimi hanifaham lakn hilo halinyimi
@George_Ambangil ndo mtu maarufu ambae anaweza kujibu ujumbe wa mtu wa kawaida kuna wengine sasa sijui wanajikutaa kina nan yaani?
Appreciate @George_Ambangil
@George_Ambangil Kuna siku nuliona kwenye podcast nahisi ya kina Roy Keane walizungumziaa MUN wamchukuee xhaka kwa kwenye comment niliona watu wanapingaa but nami niliona wako sahihi good 👍 player