So Rwanda is now considered the fastest-growing economy in Africa.
Boom, the US wants to sanction it to make sure they kill it before it buds… 😂
If Africa does not band together to fight imperialism it will never develop.
@Barongo01 Hiyo pia ni tatizo ,yaan pamoja na kuwa masharti tunayopewa kwenye hiyo mikopo ni ya hovyo na riba ni kubwa lakin kama kwa hayo hayo mashart kama tungekuwa responsible,hela iende inakotakiwa changes zingeonekana!!shida everyman for himself
@Barongo01 socialism ina anza from scratch thats why ni ngumu while capitalism unaanza na mtaji either una kopa ambayo ni most cases kama walivokopeshana mahela mengi wazungu kwa mashart nafuu ulaya after WW II au una exploit wengine vyote wa africa hatuwez thats why hatutoboi
@Barongo01 Utawekezaje bila capital?circle returns back to capitalism unapokopa kwa mashart nje😅!socialist anataka a control means of production yeye mwenyewe af auze nje,china kaweza na Russia its doable ukiwa serious na bila kuingiliwa
@Barongo01 Thats assuming we as an African country are going to get win win deals with foreign investment in crucial sectors like mining which ofcz we don’t!!Try to change that and see opposition,see the problem 😅
@Barongo01 Hata kwenye capitalism opposition anakuwa dealt with,mfano hapa!Kenya walikataa ku register cummunist party previous elections,U.S.A kaseme we ni communist wanaku cancel!