@SportsarenatzTz Tanzania nao wapeleke vijana ulaya kweny akademi kuanzia miaka 5 ili badae waje walete kombe nyumbani siyo tufungue sisi wenyew academi no
@Sativa255@CAFCLCC Umezaliwa kila kitu umekikuta asaivi unajiona ulowakuta niwajinga looo mungu hapendi mtu mkoaoaji ukitaka kumkosoa mwenzako mazaifu yake kumbuka kwanza ya kwako yakoje ili mkosoe maneno ya mtume sw...