Kenyans hawachelewi…mliskia nimetumwa Agriculture/fisheries committee mshajaza intray kabla hata nijjue kamati hukaa wapi. Ata sikua najua Kasongo aliweka fish landing levy…si rice, si sukari, si vitunguu eish! shida ziko hii kenya si ni mingi! Ndio tunasema kasongo na hizi “plan” zake akule tam moja!