Ndio the only hope in the society nanyanyuka manze from my contained low quality mansion.mpesa inasema n saa sita midnight na Sina Cha kutia kinywani .nikuambia tu mungu acheze kama yy before the day ends .napiga my usual outfit nikule njaro mtaa niskume siku angalau
Tangu my friend who was a girl afanye a TikTok challenge ya kurate ugly friends kwa contact list nikaona amenza na Mimi kwa list nlijikubali manze😕nkatulia na nikaacha mambo ya friends kabisa
Why me tho🤤🥲