Ukiwa mtaani na huna job, tafuta 300 Ksh. Enda kwa Muindi hapo tao, ule anauza malimali na plastics. Chukua ile transparent bucket ya 80 bob, alafu ununue pegs. Utauziwa 1 shilling moja, ubuy za 200, uzipange hapo ndani, alafu ingia estates za mtaa uuzie wamama 5 pcs @10 bob. Huwezi maliza 15 minutes kama hujauza zote, alafu urudi to the same guy uongeze stock. By jioni huwezi kosa 800 yako, politely.
Ile 20 bob tulibakisha, chongewa miwa juu jua ni kali. Kazi ziko mingi Kenya, inataka tuu buruweins.