Nimesikiliza hotuba ya Rais mpya wa Zambia @HHichilema nimesikiliza alivyoongea kwa uwazi kuhusu demokrasia, uhuru wa habari, utawala wa sheria, uchumi na fursa kwa wote. Hajatafuna maneno wala mafumbo. Amesema amekamatwa mara 15 amepigwa mabomu mara nyingi,
Ni Tanzania pekee kiongoz anaeratibu matendo ya kigaid anaendlea kubaki madarakan huku ushaidi ukiwepo na kesi ya ugaid anapewa anaedai #katibaMpya#Sabaya yamemfika shingon anawatapika tu @Mpango11 upo tu unadeal na Mbowe kimykimy unajisahau ka una madudu yako huku
Zaburi 24;19 Mateso ya mwenye HAKI ni mengi, Lakini Bwana humponya nayo yote.
Kwa lugha nyingine husema Mwenye HAKI ana Mateso mengi, Lakini Bwana humwokoa nayo yote.
@EmanuelMasonga katibu Kanda ya Nyasa anapatikana kwa namba +255753170161 Tangu Jana baada ya kuachiliwa Na jeshi la polisi,namba hii +255754914888 jeshi la polisi wamebaki nayo pamoja Na cm zake Na ipo Hewani hadi sasa.
IGP Simon Sirro leo ametoa Mwito kwa wanachama wa Chadema kwenda kumuuliza Mbowe alivyobambikiwa kesi ya Ugaidi, sehemu sahihi ya kuweza kumfikia ni kwenda Mahakamani tarehe 05 Augusti, 2021 ili tusikilize mashitaka yake na TUMUULIZE! Tutatekeleza Mwito.