@Naytrueboy waha kusema hivyo naye. haujajua kuwa hii nyimbo ingeleta athari gani kwa upande wa siasa.
umekosea sana, mpaka basata wameona hii ujue kuwa umevuka mipaka yako. tafuta kazi ya maana ufanye wacha muziki.
@fatma_karume@Naytrueboy@SankaraT07 wew mama haufai hata kuigwa. sijajua unachokisaport hapo kwenye nyimbo ya mitego. huyu msanii lazima awjibishwe kwa mujibu wa sharia. tena asilete longolongo nying hapa, hio nyimbo inauchonganishi mno. kama watu wakielewa kwa undani italeta mtafaruko mkubwa katika jamii. utopolo
@Twaha_Mwaipaya utumbo anatuimbia. nivyema wasanii wajitathimini kwanza kabla ya kuachia utumbo kama huu kwa jamii na kuzua taharuki kubwa sana. huyu mwanamziki ney wa mitego achukuliwe hatua za kisheria na baraza husika lilipitisha wimbo wakijinga kuchonganisha serikali.