Baada ya video ya kwanza kuhusu kenge waliovamia msafara wa Mamba mwaka jana,nimepata message nyingi whatsapp Watanzania wakijilaumu sana.
Msijilaumu, we made a mistake. Cha muhimu tusirudie tena kosa la kuamini kengeβ¦.
Tusiwaongelee tena. Hata mimi siwaongelei tena maana najua wanatamani hata niwataje kwa majina ili wa trend. Tusiwape umuhimu. Tuendeleee kudai
Leo Jumanne, June 30, 2026, Kamati Kuu ya CHADEMA imekutana katika kikao chake cha kawaida mjini Kigoma, Kikao hicho kinaongozwa na Makamu Mwenyekiti Bara, Mhe. @HecheJohn
Malasusa kapewa ahadi na Nduli Idd Amin Mama kwamba Uchaguzi ujao maccm yatasimamisha mgombea uRais mKKKT ambae ni Mwigulu so haya ambayo anafanya sasa ni katika kupalilia ahadi ππππ
π₯βΌοΈNEWALA BODABODA WAKIWASHAπ₯βΌοΈ
Taarifa kutoka Newala - bodaboda wameweka beria wao π€£ nawaambia mambo kuchele kila kona ya nchi hapo bado siku 7 kufika sabasaba!
Taarifa:
Bodaboda katika halmashauri ya mji wa Newala leo tar 30 Juni wameamdamana kupinga manyanyaso ya Polisi ambao wamekua wakiendesha oparation mbalimbali bila ukomo.
Polisi hao wamekua wanaingia maeneo mbalimbali kama sokoni,Stand na maeneo mengine na kuzikamata pikipiki pamoja na wahusika au bila wahusika kuwepo wakati wa ukamataji na hatmae vyombo vyao vinakua vinashikiliwa na Polisi katika maeneo ya vituo vidogo na kituo kikuu cha wilaya.
Ili kufanikisha upatikanaji au kurudisha pikipiki baada ya kukamatwa, Polisi wa usalama pamoja na wengine wamekua wakilazimisha wenye vyombo husika kulipa faini zaidi ya makosa manne na huchukua kati ya siku mbili hadi tatu kwa wahusika kupata vyombo vyao baada kulipa faini.
Aidha polisi hao wamekua na utaratibu wa kuweka vizuizi katika barabara zote zinazoingia mjini hali ambayo imesababisha kudorora kwa biashara katika mji wa Newala kwakua bodaboda hao hulazimika kwenda kupata mahitaji ya wateja katika wilaya za jirani za Tandahimba na Masasi kutokana na usumbufu wa Polisi wa Newala.
Katika kudai haki yao,bodaboda walifanikiwa kufikisha ujumbe wao kwa mkuu wa wilaya Newala Mh Alhaji Rajabu Kundya ambae aliwaahidi kumaliza changamoto hizo na huku msisitizo ukitolewa kwa askari wasio na uniform kuacha kuendesha oparation hiyo hasa nyakati za jioni ambayo inapelekea usumbufu na uharibifu wa vyombo kwakua vinapakizwa na magari ya polisi pasipo utaratibu.
Nasema #TutaelewanaTu
Hi guys, I need a huge favor. Naomba msaada wenu mkubwa.
Hili tangazo ni la maana sana, siwezi kuelezea kwa kina sasa hivi ila baadae nitawaelezea. Ila ni process ya kupata account zangu za meta (instagram na Facebook)
Naomba mnitumie posti yoyote ile ya Mmarekani yoyote yule, mweusi au Mzungu ambae kawahi kuandika posti yoyote ile akiikosoa serikali ya Tanzania na posti hiyo haikufutwa au kuchukuliwa hatua na meta, posti lazma iwe kwenye mitandao ya instagram au facebook sio humu X.
Sio lazma awe Mmarekani au mzungu, hata awe mweusi ila sio Mtanzania ila awe anaishi hapa Marekani au hata nje ya Marekani.
Yani kwa kifupi posti za foreigners haswa wazungu wakiikosoa serikali ya Tanzania.
Naomba mnitumie kupitia whatsapp +1 424-537-3057
βΌοΈπ¨TUNDU LISSU UPDATEβΌοΈ
The Chairman of CHADEMA, Tundu Lissu, is expected to cross-examine the Commissioner General of Prisons and the Warden of Ukonga Prison in Constitutional case No. 7300 of 2026 before the High Court of Tanzania, in Dodoma. The case was opened by lawyers Kulwa Maduhu, Nashon Nkungu, and Paul Kisabo against the Attorney General, the Commissioner General of Prisons, and the Warden of Ukonga Prison, requesting the court to decide on the violation of constitutional principles in the prison.
Among the main issues complained about are leaders and members of CHADEMA being prevented from seeing Lissu, as well as the eavesdropping of prison guards βlistening to confidential conversations between Lissu and his lawyers when they are conducting legal consultationsβa violation of the right to privacy.
π₯LISSU HAPOIβΌοΈ
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu, anatarajiwa kuwahoji kwa maswali ya dodoso (cross-examination) Kamishna Mkuu wa Magereza pamoja na Mkuu wa Gereza la Ukonga katika Shauri la Kikatiba Namba 7300 la Mwaka 2026 mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma.
βMnyukano huo wa kisheria utaanza kesho Julai 1 hadi Julai 3, 2026. Shauri hilo litasikilizwa kwa njia ya mtandao (online) mbele ya jopo la majaji watatu; Mhe. Jaji Mruma, Mhe. Jaji Dkt. Rumisha, na Mhe. Jaji Dkt. Longopa.
βShauri hilo lilifunguliwa na mawakili Kulwa Maduhu, Nashon Nkungu, na Paul Kisabo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Kamishna Mkuu wa Magereza, na Mkuu wa Gereza la Ukonga, wakiiomba mahakama kuamua kuhusu ukiukwaji wa misingi ya kikatiba gerezani.
Miongoni mwa mambo makuu yanayolalamikiwa ni pamoja na viongozi na wanachama kuzuiwa kumuona Lissu, pamoja na vitendo vya askari magereza vya kusikiliza mazungumzo ya siri kati ya mwanasiasa huyo na mawakili wake wanapofanya mashauriano ya kisheriaβjambo linalokiuka haki ya faragha.
βKatika shauri hili, Tundu Lissu ametajwa kama mmoja wa wajibu maombi (Respondents), huku Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kikishiriki kama mdau mwenye maslahi katika shauri (Interested Party) baada ya mahakama kukubali maombi yao.
#FreeTunduLissu
π¨Venezuela interim president Delci Rodriguez:
βWe have received two planes from Portugalβs Cristiano Ronaldo. Medicines, equipment, food, clothes. Two full planes. I have no words to describe the gratitude we have to Ronaldo as a country. We can only pray that God prepares a special place for him in heaven and to make his name bigger here on earth.β
About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didnβt answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder.
Because I know my life is in danger and Iβm home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there.
So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldnβt hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were.
The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony.
The woman did all the talking. The man didnβt say a word.
As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door.
Everything is being forwarded to the FBI.
If anything happens to me, this is where the investigation should begin.
I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one.
KISWAHILI
Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi.
Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango.
Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama.
Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu.
Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja.
Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu.
Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI.
Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa.
Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki.
Kumbe lile sheikh Mwaipopo linapigia watu simu na kueleza mambo ya utekaji liofanya na Samia
Ametoboa siri pia wana watu Interpol wanao chezea haki na usalama wa watu
Hii ya intepol nayo inakwenda kwenye ile vikwazo, kwamba mmeitumia vibaya kufanya uharifu
Hawa wajinga wanasaidia sana kutoa siri za Samia,
Uzuri Mwaipopo walisha mthibitisha kama mtu wao hasa baada kutoa kauli ya kigaidi na wakauchuna sasa anasema anakata wanaume pumbu tena kwa mkono wake.
Kumbe Samia anakata pumbu Watanganyika wasizaliane ni kama kuna mission kuhakikisha Watanganyika wanamalizwa wote hasa wanaume ?
Tanganyika shitukeni, kuna ugaidi umejificha nyuma ya kibibi kina misheni mbaya sana ya kiroho na kisiasa
π¨ ππππππππ: ππππ πππππ ππππ ππππ πππππ πππ πππππππππ πππ ππ πππ πππππ πππ!! π
Remember the powerful Ghanaian traditional priest Nana Kwaku Bonsam, the man who famously cast a spell on Kane vs Ghana and his words came to pass?
Heβs now made another prediction:
βCape Verde WILL πππππππππ Argentina. I have seen it already.β
The statement has sparked huge debate among fans, especially given Argentinaβs heavyweight status and Cape Verdeβs underdog story.
#WorldCupwithMicky
#FIFAWorldCup