Hey Daktari
Pole kwa kuja kwa ghafla I’ll be short,na si kinyasa
Niko na swali,Kwani unaishi Peru? Juu nadai kukuLima
Mtoto Mzuri,sijui nikuite Mrenda juu already wewe ni mboga
Ama nikuite Mwizi,juu umeiba roho yangu,na nitakupiga rungu incissors name
I dont deserve you