SIMBA aliwahi kua na kikosi chenye wachezaji wa daraja la juu zaidi baran afrika miaka miwili kurudi nyuma
Ndio maana waliweza kucheza robo fainali 6 za CAF
Pape sakho wa simba aliitwa timu ya taifa ya Senegal ile ya kina mane wa moto
Leo hii timu haina wachezaji wakuitwa NT
Kila kitu ni kizuri kwake
-Playing style yake ni insane
-Appearance yake ni nzuri sana
-Pia uongozi akiwa uwanjani anaujua
-Macho yake ni ya daraja la juu
-Rangi yake usiseme
-Nywele zake hazina mashaka, african hair
Huyu ni moja ya rasilimali muhimu za taifa
Hizi ni baadhi tu ya kumbukumbu zetu. π¦π΄βͺοΈ
Kama wewe ni Msimba mwenzangu, usikose historia, magoli na moments kali za Simba SC.
Follow @SimbaArchive β hapa Simba haitapoteza kumbukumbu. β€οΈβπ₯π¦