@BlessdGrooveKid Sasa aibu gan??
Ww kwenu ilikuwepo,si umeipata uzeen kijana ukajifunza ukajua...au unataka kutuaminisha ulizaliwanayo???
Kama Ni aibu bas ni aibu ya Jana yako baasii.
@apto96 @itskamami_f Mwanamke wa kiislam lazma aoge janaba,mwili mzima...sasa km atakua na rasta ataweza kwenda saluni kila atakapooga???ndio maana yk.