@mnazi36@Balyx_ Kwenye kuzaliwa vichaa ni kote sio wazungu wala waafrica hyo ni mipango ya Mungu pia makosa ya kibinadamu yapo ila sisi Africa kuwa mbumbumbu kwenye mambo ya dunia kama haya kwa 90% ni mipango ya Mungu kivipi wakati ni mifumo yetu ya elimu na mazingra ndo chanzo