@hecenmo Baada ya game mbili tu za league alionekana kua na madhaifu mengi sana, haiezkani umekaa na team pre-season nzima unafika GD6 huna proper squad for match. Mwanzon team ilikua na mwelekeo what came after then anatakiwa aseme hayo ya management ni Africa nzima kila mgt ina shda