@bonifacejoseph_ Kwahiyo ww ukiwa unaangalia mpira unaangalia broadcastinng? Kwahiyo wewe game ya heche unaenda kuangalia broadcaating na si Quality kwenye display?
@_Kellystore@bonifacejoseph_ Hoja yangu ni kwamba kwahiyo kwa vile Barca wanacheza vizuri sana that means ligi yao ni bora kuliko nyingne? Ko barca anacompensate udhaifu wa vilabu vingine 19 viliobaki? Nadhan umeshindwa kutoa hoja nzuri za kutetea point yako.
@_Kellystore@bonifacejoseph_ Na Nadhan haizungumzwi historia inazungumzwa ipi ni league bora kati ya EPL na Laliga na si ipi imekua league bora kwa miaka 10 iliyopita? Kiuhalisia hauwez ukawa competitive kama wewe s bora hakuna,ili uwe bora kwenye kitu flan lazima uwe mshindani.
@_Kellystore@bonifacejoseph_ Kwahiyo league yenye timu 20 vilabu viwil vinaweza vikacompansate udhaifu wa vilabu vingine 18 na kuifanya iitwe league bora zaid ya EPL ? Kwa mfano hapo ww ukizipanga hizo league zote tank bora ulaya kinamba utaiweka laliga namba 1?
@AllenJezzy@SONICS_97 Wewe ndo unaongea ujinga,hujui kama mchezaji A anaweza kua bora kwa mchezaji B kwenye nafasi flan ,lakin bado kocha akaamua kumuanzisha mchezaji B kwa sababu ya falsafa yake na namna anavotaka nchezaji huyo acheze kwenye hiyo falsafa.
@Robyn062@mtera_lucas Si unaona Man United wanaspend kidogo kidogo kwa sababu wanaamini carrick watampa mda and then wakiona project inaanza kiboom wanaspend hizo 100+,na hivyo ndivo ilivotokea kwa Arteta katika miaka minne yake ya kwanza.
@Robyn062@mtera_lucas Wewe utamvumilia lakini uongozi hauwez ukamvulia,Dalili ya uongozi kumvumilia kocha utaona kwenye usajili huwez ukaspend 125 mil kwa mchezaji mmja alafu unanambia hapo uongozi unajiandaa kia na subra na Coach maana ake wanataka kushinda sasa,na ndo maana walimfukuza arne slot