@ayubu_madenge Graduate baadae waende VETA...awa walipo wameshindwa bado tunaongeza branch za nini sasa? Tumeshindwa kufikiri namna bora ya kutafsiri mazingira yetu ili tuwe bora zaidi
@TheRealEkiswaga Umefikiria wewee...ndiyo akili zako zimeishia hapo? Aiseee kama Taifa bado tunawajinga wengi sana yaani wasomi wajinga bado tunao sana kwa akili hizi nimesikitika sana.
@mwanriquee Sasa si ubaki kwenye nchi yako kwa lazima uwende uko kwao...mmeshindwa kuzijenga
na kuzipambania nchi zenu mnalazimisha kwenda kwao uoni uwo ni ushamba Judith mwanri
@iamcleopatricia Takataka wewe fanya kampeni yako ya kipumbavu ya kuzambaza habari za kishezi acha kuwaingiza mashujaa wa chagga kwenye harakati zako falaa wewe
Politics isn't just a game of clashing parties and competing interests.The right reason is to challenge the status quo,to serve the common good,and to leave this nation better than we found it.