Mazingira unayoish ni muhimu sana na ndiyo yanakushape uwe ulivyo sasa
Kama ukiwa katika mazingira ya watu waliokizunguk ni walevi na wew kuwa mlevi ni rahisi sana
Ungezaliwa nchi nyingine kama japani usingekuwa ulivyo sasa
Motivation Is Overrated; Environment Often Matters.
Iko hivi…….
Umri unaenda pengine hata uzee unakaribia…..but kuna ndoto na goals haujazi-accomplish.
Wakati umri unavyozidi kukua ndivyo maradhi nayo yanazidi kukunyemelea, changamoto zinazidi kuwa nyingi na kubwa!!
Majukumu yanazidi, family issues, kids, ndoa/mahusiano, na unakuwa financially unstable.
The course ambayo ume-stick nayo kwa muda mrefu haijakupa matokeo yoyote, sana sana imekuletea changamoto zaidi na kukukosesha opportunities!!
HAPA SASA NDIO MTU ANAFIKIA MAAMUZI YA KUUZA SOUL!!
LIWALO NA LIWE POTELEA PWETE!
Very few of us….ndio tunaweza kushikilia bomba mpaka mwisho!!
No matter how tough the situation is!
Sio rahisi sana, wengi wanashindwa njiani katikati ya safari!
So far tumeshawapoteza wengi katikati ya hii safari….tuwaombee wanaoendelea kushikilia bomba Mungu awape imani na ustahimilivu!
Sema LISSU ni mtu na nusu.
Li mjamaa likiongea wanasikia watu wote hadi wasiojua kusoma.
Li LISSU likirudi uraiani CHADEMA itaota mapembe tena.
Sema ndio hivyo sijui kama ataachiliwa kama tu TUME imesema yale.
Dear wafalme,
Mwanaume ana uwezo wa kuamua kamwe hatoongea tena na mwanamke fulani. Huo uwezo unao.
Sio utoto, ni kujiheshimu &
Epuka dharau - be a man.
Ma bro waliojipata huko abroad wakiona binti wa nyumbani wanaweka ndani haraka na kumpa makaratasi ili aanze maisha chap. Dada zetu wenye karatasi abroad wanatuona sisi kama vinyago vile. Hata salamu ni ngumu.😁