Leo tarehe 14/10/2021 nimekabidhi jukumu la Uwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi Mashariki mwa Afrika kwa mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Congo IGP DieudonneBahigwa.
Shirikisho ambalo nimeliongoza kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo.
#Dodoma
Jana nimefanya kikao na Wakuu wa Polisi Barani Afrika kwa njia ya mtandao na tumejadiliana masuala mbalimbali ikiwemo uhalifu unaovuka mipaka na kuweka mikakati ya ushirikiano
#UmojaWetuNdioNguvuYetu
IGP Sirro tarehe 27/09/2021 ameshiriki Kikao cha Wakuu wa Polisi Barani Afrika kwa njia ya mtandao (Vitual Meeting) kujadili hali ya Usalama na kuweka mikakati ya Ushirikiano katika kupambana na makosa yanayovuka mipaka hususani Ugaidi, Makosa ya Mitandao na utakatishaji fedha.