Kuna kipindi nikiwa nimepanga maeneo ya mjini kati mama mwenye nyumba wangu alifariki. Kwenye Msiba wake walikuja mamia ya wapangaji waliowahi kupita kwenye nyumba Ile.
Ni mama wa makamo ila wengi tulizoea kumuita mama.
Nilipokua eneo la msiba kila mmoja alimnenea mazuri yule mama kua ni mtu wa watu, ni mama ambaye ukiwa na changamoto anakusikiliza kama mtoto wake.
Aliishi na wapangaji wake kama familia.
Kila aliyewahi kua mpangaji wake pale alikiri kua ni mama aliyebarikiwa, kiasi ulikua ukihamia kwenye nyumba yake milango yako inafunguka, ridhizi una anza kuiona.
Wapo walio hamia kwenye nyumba zao walivyotoka pale, waliopatia kazi wakiwa pale kabla ya kuja kuhama.
Kila mmoja alimuongelea kwa wema kiasi cha kumtolea mifano hai ya namna alivyogusa maisha ya watu kutokea chini.
To make a story short pamoja na yote kwenye ule Msiba nilijifunza fedha ni kitu muhimu, lakini zikiwa sababu ya wengine kuinuka kutokea chini ni muhimu zaidi.
Nyie watu mapenzi yanaweza kufanya ukapoteza uhai. Ngoja niwape kisa cha ukweli kabisa. Kuna jirani yangu mmoja hivi alikuwa anafanya kazi Kwenye moja ya Jeshi letu nchini. Alikuwa na familia yake vizuri kabisa. Siku moja alienda kazini kutekeleza majukumu yake ya kazi.
@peegzy1 NASA employs workers with diploma, bachelor’s degree, master’s degree, and PhD, depending on the job—technicians often use diplomas, engineers use bachelor’s degrees, and advanced research roles require master’s or PhD qualifications.
@MannyxL9 And that, he thought, was far more intense than anything physical.
He ended with a grin — the kind that hides a thousand untold chapters — and said:
“Sometimes the messiest moments are the ones that never even make it to the bedroom.”
@MannyxL9 It was “dirty” because it exposed truths he wasn’t ready to face:
how deeply he could feel, how quickly someone could disarm him, how vulnerable connection can make a person....
A PhD is the highest academic qualification you can ever get. There is nothing above it. It is earned from writing and defending a thesis that makes a novel contribution to an academic field. A holder can use it for life because it is not tied to any academic institution. It is a portable award.
A professorship is a rank. A title for being an active teacher and researcher. In the US, any teacher in higher education can be called a professor. It is merely a descriptive term. But there is Chair Professorship that denotes an official academic rank for senior academics who rose to the top. They often go through Assistant Professorship and Associate Professorship ranks for many years. These rank holders have held multiple research grants, are running research labs, have diverse academic affiliations with other institutions and the industry, shape opinion in the field through constant research publications, and contribute to active teaching.
But a professorship is not a lifetime title. When people retire, they become former professors. Those who maintain some level of teaching and research engagement in retirement become Professor Emeritus/Emerita. It is just like being a Senior Engineer, or Managing Director. You can't retire and be calling yourself an MD, GM, or Director. You drop it when you retire or move elsewhere.
Nigerians worship titles even if they are acquired fraudulently. It is a political hook to use in fishing for political appointments and unnecessary respect from people who think the holder is operating at the top of knowledge hierarchy. Some of them are extremely good and their records remain respectable. Many of them are fishermen, fishing for opportunities that cannot be squared with their claimed academic experience.
I know real professors and I will accord them the full recognition that they deserve even after retirement. That respect will continue especially when they don't shove it in our faces. I personally do not want to be a professor because the value of that prestigious title has been eroded in Nigeria.
Kuna jamaa aged early 30s married with three children. The guy worked kama shamba boy somewhere but alikuwa anaenda home weekends. Kumbe akiwa away babake ameshaanza love affairs na daughter inlaw 😢. Alisikia hii story but akakanyagia. So he decided kukam home katikati ya wiki to confirm hiyo story. Alifika kitu 9pm akachill hapo around then akacheki vile mzae anaingia area, kidogo akaona mlango wa stadium umefungwa akajua ni masaa ya kumeza Diclofenac. Alipiga dirisha akaingia ndani, jamaa alikatakata wote na panga na yeye akajipima kilo hapo hapo ndani. Na he was the only son💔. That was the most awkward funeral I've ever attended in my life 😔