Ukifanikiwa kusogea kimaisha jitahidi sana sana usilete dharau kwa wale uliowaacha stage uliyopita. Maisha ni kama Dar to Arusha, ukiidharau Mombo wakati wa kwenda, utaikuta wakati wa kurudi.
Kuna magumu tunayopitia,kuna maisha tunatamani kuyafikia,halafu kuna Mungu tunayemtegemea. Kwakwe yy ndiyo tumaini letu lilipo,hivyo hakuna kukata tamaa huku tukiendelea kupambana kwa nguvu na akili zetu zote.
Tukawe na siku nyingine njema na Mungu akafanye wepesi kwetu🙏🙏
Hizi ndio tweets usipate bila kuretweet🙏🏽
Binti ana diploma ya pharmacy na anatafuta kazi hapa Dar au Morogoro
Muajiri wake anaweza kua humu humu, watumie watu unaohisi wanatafuta pharmacist
Number zake za cm 0742141696
Nimekupambania sana uhai wako mke wangu,siamini leo umenitoka na umeniachia mtoto mdogo wakumlea sielewi niataishi vipi bila uwepo wako nyumbani mke wangu.Jina la bwana Mungu lihimidiwe binadamu ni mavumbi na mavumbini utarudi.Lala salama mke wangu safari umeimaliza 🙏🏽
Kujaza nafsi yako na negativity, hisia za kuonewa, hisia za kutokujaliwa, hisia kwamba wewe sio chochote kwa wengine ni kitu hatari sana kwa afya yako ya mwili na akili.
Jipende.
Siwafundishi Kazi La Hasha!
Lakini Nadhani Atleast Linge2mika Neno Jingine Badala Ya GAIDI!
1. Lina Ukakasi Sana/Linash2a Hasa Watoto We2,Wanajua Ni Vita,Hatujazoea Hivyo.
2.Linakinzana Na Kauli Za Kwamba cc Ni Kisiwa Cha Amani!
Ugenn Wanabisha Ha2na Amani Wakisikia Hilo Neno
Hili ndio tatizo la viongozi wa Taifa hili.
Ndio maana tunataka katiba mpya
Itakayounda Taasisi imara.
Sio Rais anataka watu wanakubali kila kitu kutoka kwake
#KatibaMpyaMovement@KatibaMpyaTZ@kigogo2014